Matthew 10:11-13

11 a “Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake mpaka mtakapoondoka. 12 bMkiingia kwenye nyumba, itakieni amani. 13 cKama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi.
Copyright information for SwhNEN